sw_pro_text_reg/01/26.txt

1 line
192 B
Plaintext

\v 26 Nitacheka katika taabu yenu, nitawadhihaki wakati wa kupatwa taabu \v 27 hofu ya kutisha itawapata kama tufani na maafa yatawakumba kama upepo wa kisulisuli, taabu na uchungu vitawapata.