\v 1 Mipango ya moyo ni ya mtu, bali Yehova hutoa jawabu kutoka kwenye ulimi wake. \v 2 Njia zote za mtu ni safi kwenye macho yake mwenyewe, bali Yehova huipima mioyo.