\v 1 Mithali za Sulemani mwana wa Daudi, mfalme wa Israeli. \v 2 Mithali hizi zinafundisha hekima na maarifa, kufundisha maneno ya busara, \v 3 ili mpate maarifa kwa ajili ya kuishi kwa kutenda wema, haki na adili.