\v 24 Hutengeneza mavazi ya kitani na kuyauza, na naleta mishipi kwa wafanyabiashara. \v 25 Amevaa nguvu na heshima, na wakati ujao huucheka.