\v 18 Huangalia ni kipi kitaleta faida nzuri kwake; usiku wote taa yake haizimishwi. \v 19 Mikono yake huiweka kwenye mpini wa kisokotea nyuzi na hushikilia kisokotea nyuzi.