\v 16 Mshahara wa watenda haki huelekea kwenye uzima; manufaa ya waovu huelekea dhambini. \v 17 Kuna njia kwenda kwenye uzima kwa yule anayefuata maongozo, bali anayekataa maonyo hupotea.