\v 1 Wanangu, sikilizeni, fundisho la baba, na zingatieni ili mjue maana ya ufahamu. \v 2 Mimi ninawapa mafundisho mazuri; msiyaache mafundisho yangu.