\v 21 Urithi uliopatikana mwanzoni kwa haraka utakuwa na mema kidogo mwishoni. \v 22 Usiseme " Mimi nitakulipiza kwa kosa hili" Msubiri Yehova na yeye atakuokoa.