\v 18 Watu hawa huvizia kujiua wenyewe--wanatega mtego kwa ajili yao wenyewe. \v 19 Ndivyo zilivyo njia za kila ambaye hupata utajiri kwa udhalimu; mapato ya udhalimu huondoa uhai wa wenye utajiri.