\v 26 Anafumbua kinywa chake kwa hekima na sheria ya ukarimu ipo kwenye ulimi wake. \v 27 Huangalia njia za nyumba yake na hawezi kula mkate wa uvivu.