\v 8 Ongea kwa ajili yao wasioweza kuongea, kwa madai ya wote wanaopotea. \v 9 Ongea na uhukumu kwa vipimo vya haki na utetee dai la masikini na watu wahitaji.