\v 27 Sadaka ya mwovu ni chukizo; huwa ni chukizo zaidi anapoileta kwa nia mbaya. \v 28 Shahidi wa uongo ataangamia, bali anayesikiliza ataongea kwa muda wote.