\v 11 Mwenye dhihaka anapoadhibiwa mjinga hupata busara, na mtu mwenye busara anapofundishwa, anaongeza maarifa. \v 12 Atendaye haki huilinda nyumba ya mwovu; huwashusha waovu kwenye uharibifu.