\v 7 Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na hujinasa mwenye kwa midomo yake. \v 8 Maneno ya mmbea ni kama chembe tamu na hushuka katika sehema za ndani sana kwenye mwili.