\v 22 Mtu mwovu atatekwa na makosa yake mwenyewe; kamba za dhambi yake zitamnasa kwa nguvu. \v 23 Atakufa kwa kukosa maonyo; atapotelea mbali kwa upumbavu wake wingi.