\v 7 Hekima ni kitu cha muhimu sana, hivyo jipatie hekima na tumia namna zote kuweza kupata ufahamu. \v 8 Tunza hekima nayo itakutukuza; ikumbatie nayo itakuheshimu. \v 9 Hekima itaweka kilemba cha heshima juu ya kichwa chako; itakupa taji zuri.