sw_pro_text_reg/22/24.txt

1 line
171 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 24 Usifanye urafiki na mtu mwenye kutawaliwa na hasira na wala usiambatane pamoja na mwenye hasira kali, \v 25 au utajifunza njia zake na utakuwa chambo kwa nafsi yako.