Wed May 04 2022 03:14:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-04 03:14:54 +03:00
parent abe23a4587
commit 9e2dfe3c72
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Na hivyo kama wanichukulia mimi mshirika, mpokee kama ambavyo ungenipokea mimi. \v 18 Lakini kama amekukosea jambo lolote, au unamdai kitu chochote, kidai hicho kutoka kwangu. \v 19 Mimi Paulo, ninaandika kwa mkono wangu mwenyewe: mimi nitakulipa- Sisemi kwako kwamba nakudai maisha yako hasa. \v 20 Naam ndugu, acha nipate furaha ya Bwana toka kwako: uburudishe moyo wangu katika Kristo.
\v 17 Na hivyo kama wanichukulia mimi mshirika, mpokee kama ambavyo ungenipokea mimi. \v 18 Lakini kama amekukosea jambo lolote, au unamdai kitu chochote, kidai hicho kutoka kwangu. \v 19 Mimi Paulo, ninaandika kwa mkono wangu mwenyewe: mimi nitakulipa- pasipo na nakudai maisha yako hasa. \v 20 Naam ndugu, acha nipate furaha ya Bwana toka kwako: uburudishe moyo wangu katika Kristo.