|
\v 5 Kama wezi walikuja kwako, ikiwa wanyang'anyi wangekujilia usiku (jins i ungekatiliwa mbali] wasinggeweza kuiba vya kuwatosha? Ikiwa wakusanya zabibu wangekujilia, wasingeacha mavuno? \v 6 Jinsi Esau amekwisha kupigwa, na hazina zake zilizofichwa zimewekwa nje! |