sw_oba_text_reg/01/03.txt

1 line
305 B
Plaintext

\v 3 Kiburi cha moyo wako kimekudanganya wewe, wewe ambaye unaishi katika makaburi ya miamba, katika nyumba yako ya juu; asemaye moyoni mwako, 'Ni nani atakayenishusha mimi chini?' \v 4 Ingawa unasimama juu kama tai na ingawa kiota chako huwekwa kati ya nyota, nitakushusha chini kutoka huko, asema Yahweh