sw_oba_text_reg/01/01.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 1 Maono ya Obadia. Bwana MUNGU asema hivi juu ya Edomu Tumesikia habari kutoka kwa Bwana, na mjumbe ametumwa kati ya mataifa, akisema, Inukeni! Tuinuke dhidi yake kwa vita!" \v 2 Tazama, nitawafanya wadogo kati ya mataifa, mutadharauliwa sana.