sw_num_text_reg/33/19.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 19 Walisafiri kutoka Rithima na kuweka kambi Rimoni Perezi. \v 20 Walisafiri kutoka Rimoni Perezi na kuweka kambi Libna. \v 21 Walisafiri kutoka Libna na kuweka kambi Risa. \v 22 Walisafiri kutoka Risa na kuweka kambi Kehelatha.