|
\v 27 Hiyo ndiyo sababu wala ambao huongea kwa Mitahali husema, "Njoni Heshboni. Mji wa Sihoni ujengwe na kuimarishwa tena. \v 28 Moto uliwaka toka Heshiboni, moto kutoka mji wa Sihoni ambao uliiteketeza Ari ya Moabu, na wenyeji wa miji ya juu ya Amoni. |