sw_num_text_reg/35/12.txt

1 line
196 B
Plaintext

\v 12 Hii miji itakuwa kwenu miji ya ukimbizi kwa mtu anayetaka kulipa kisasi. ili kwamba mtuhumiwa asije akauawa bila kwanza kusikilizwa na jamii. \v 13 Mtachagua miji sita kuwa miji ya ukimbizi.