sw_num_text_reg/30/01.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 1 Musa aliwambia viongizi wote wa makabila ya watu wa Israeli. "Hiki ndicho ambacho BWANA ameamuru. \v 2 Mtu yeyote atakayefanya nadhiri kwa BWANA, au kuapa kwa kiapo ili kufunga nafsi yake kwa ahadi, asivunje neno lake. Atafanya sawa na ahadi yake imtokayo kinywani mwake.