sw_num_text_reg/26/23.txt

1 line
244 B
Plaintext

\v 23 Koo za uzao wa Isakari zilikuwa hizi: Kwa Tola, ukoo wa Watola, kwa Puva, ukoo wa Wapuva, \v 24 kwa Jashubu, ukoo wa Wajashubu, kwa Shimroni, ukoo wa Washimroni. \v 25 Hizi ndizo zilikuwa koo za Isakari, Idadi yao ilikuwa wanaume 64, 300.