sw_num_text_reg/22/38.txt

1 line
373 B
Plaintext

\v 38 Ndipo Balaamu alipomjibu Balaki, "Tazama, mimi nimekuja kwako. Je mimi sina mamlaka ya kusema chochote? Mimi ninaweza kusema maneno ambayo Mungu ameweka kinywani mwangu." \v 39 Balaamu akaenda na Balaki, na Wakafika Kiriathi Huzothi. \v 40 Kisha Balaki akatoa sadaka ya maksai na kondoo na kumpatia Balaamu baadhi ya hiyo nyama na wale viongozi waliokuwa pamoja naye.