sw_num_text_reg/17/12.txt

1 line
187 B
Plaintext

\v 12 Wana wa Israeli wakanena na Musa wakisema, "tutakufa hapa! Wote tutaangamia! \v 13 Kila mmoja anayekuja hapa, anayekaribia masikani ya BWANA, atakufa. Je, ni lazima wote tuangamie?"