sw_num_text_reg/17/10.txt

1 line
229 B
Plaintext

\v 10 BWANA akamwambua Musa, "Iweke fimbo ya Haruni mbele ya amri za agano. Iweke iwe ishara ya hatia mbele ya watu waliopinga ili ukomeshe malalamiko dhidi yangu, vinginevyo watakufa." \v 11 Musa akafanya kama BWANA alivyoagiza.