sw_num_text_reg/10/31.txt

1 line
191 B
Plaintext

\v 31 Naye Musa akamjibu, "Tafadhali msituache. Mnajua jinsi ilivyo kuweka kambi jangwani. Tunaomba mtujali. \v 32 Kama mtaambatana nasi tutawatendea mema sawa na jinsi BWANA anavyotutendea."