sw_num_text_reg/05/31.txt

1 line
110 B
Plaintext

\v 31 Yule mwanaume atakuwa hana hatia kwa kumleta mke wake kwa kuhani. Na yule mwanmke atauchukua uovu wake."