sw_num_text_reg/05/29.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 29 Hii ndiyo sheria ya wivu. Ni sheria ya mwanamke anaye mugeuka mumewe na kunajisika. \v 30 Ni sheria ya mwanaume mwenye roho ya wivu kwa mkewe. Atamleta mwanamke mbele ya BWANA, na kuhani atamfanyia huyo mwanamke kila kitu ambacho sheria ya wivu inamtaka kufanya.