sw_num_text_reg/05/27.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 27 Wakati wa kumpa yale maji ili anywe, kama amenajisika kwa sababu alifanya uovu dhidi ya mume wake, ndipo yale maji yaletayo laana yatamwingia na kuwa machungu. Tumbo lake litavimba na paja lake litaoza. Yule mwanamke atalaaniwa kati ya watu wake. \v 28 Lakini kama yule mwanamke hajanajisika na kama ni msafi, basi atakuwa huru. Tena ataweza kubeba uja uzito.