sw_num_text_reg/05/16.txt

1 line
189 B
Plaintext

\v 16 Ndipo kuhani atasogeza karibu na kumweka mbele ya BWANA. \v 17 Kuhani atachukua kikombe cha maji matakatifu na atachukua mavumbi kutoka kwa masikani. Ataweka yale mavumbi kwenye maji.