sw_num_text_reg/05/15.txt

1 line
321 B
Plaintext

\v 15 Kwa mazingira hayo, yule mwanaume anapaswa kumpeleka mke wake kwa kuhani. Yule mwanaume anapaswa kutoa sadaka ya divai kwa ajili yake. Atapaswa kuleta sehemu ya kumi ya efa ya unga wa shayiri. Asitie mafuta juu yake wala asitie ubani juu yake maana ni sadaka ya unga ya wivu, ni sadaka ya unga ya ukumbusho wa uovu.