sw_num_text_reg/05/13.txt

1 line
388 B
Plaintext

\v 13 Halafu mtu mwingine akalala naye. Kwa sababu, hiyo atakuwa amenajisika. Na hata kama mume wake hakuona na hajui, hata kama hakuna mtu aliyemkamata akiwa katika tendo na hakuna mtu wa kushuhudia dhidi yake; hata hivyo ile roho ya wivu itaendele kumjulisha yule mume kuwa mke wake amenajisika. \v 14 Ingawa, roho ya wivu inaweza kumdanganya yule mwanaume wakati mke wake hajanajisika.