sw_num_text_reg/05/01.txt

1 line
438 B
Plaintext

\c 5 \v 1 BWANA alinena na Musa. Akasema, \v 2 "Waamuru wana wa Israel wawatoe watu wote wenye magonjwa ya ngozi yanayoambukiza, na kila mwenye vidonda vinavyotoa harufu, na ambaye amenajisika kwa kugusa maiti. \v 3 Awe mme au mke, umtoe kambini. Ili wasije wakaitia unajisi kambi, kwa sababu Mimi huishi ndani yake," \v 4 Watu wa Israeli walifanya hivyo. Waliwatoa kambini, Kama BWANA alivyomwagiza Musa. Watu wa Israeli walimtii BWANA.