sw_num_text_reg/04/34.txt

1 line
358 B
Plaintext

\v 34 Musa na Haroni na viongozi wa watu waliwahesabu wana wa uzao wa Wakohathi kwa kufuata koo za familia za mababu zao. \v 35 Waliwahesabu wale wenye umri wa miaka thelathini hadi miaka hamsini. Walimhesabu kila mmoja aliyepaswa kuungana na kundi linalotoa huduma ya utumishi kwenye hema ya kukutania. \v 36 Waliwahesabu wanaume 2, 750 kwa kufuata koo zao.