sw_num_text_reg/01/51.txt

1 line
330 B
Plaintext

\v 51 Kila hema litakapotakiwa kuhamishiwa eneo lingine, Walawi ndio watakaolipeleka pale. Na kila hema litakapotakiwa kusimamishwa, Walawi ndio watakao lisimamisha. Na mgeni yeyote atakayelisogelea hema lazima auawe. \v 52 Wakati watu wa Israeli watakaposimamisha hema zao, kila mwanaume lazima awe karibu na bango la jeshi lake.