sw_num_text_reg/01/42.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 42 Kutoka ukoo wa Naftali yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi, na mwenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. \v 43 Walihesabiwa wanaume 53, 400 kutoka kabila la Naftari