|
\v 34 Kutoka uzao wa Manase mwana wa Yusufu yaliheabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu y a ukoo na familia. \v 35 Walihesabiwa wanaume 32, 000 kutoka kabila la Manase. |