sw_num_text_reg/01/32.txt

1 line
260 B
Plaintext

\v 32 Kutoka uzao wa Efraimu mwana wa Yusufu yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na wenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. \v 33 Walihesabiwa wanaume 40, 500 kutoka kabila la Efraimu.