sw_num_text_reg/01/28.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 28 Kutoka uzao wa Isakari yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini au zaidi na mwenye uwezo wa kwenda vitani, kutoka kwenye hesabu ya ukoo na familia. \v 29 Walihesabiwa wanaume 54, 000 kutoka kabila la Isakari.