sw_num_text_reg/01/22.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 22 Kutoka uzao wa Simeoni yalihesabiwa majina yote ya kila mwanaume mwenye umri wa miaka ishirini na zaidi au wenye uwezo wa kwenda vitani, kutokana na hesabu ya ukoo na familia. \v 23 Walihesabu wanaume 59, 300 kutoka kabila la Simeoni.