sw_num_text_reg/01/12.txt

1 line
224 B
Plaintext

\v 12 Kutoka kabila la Dan, Ahizeri mwana wa Amishadai; \v 13 kutoka kabila la Asheri, Pagieli mwana wa Okirani; \v 14 kutoka kabila la Gadi, Eliasafu mwana wa Deuli; \v 15 na kutoka kabila la Naftali, Ahira mwana wa Enani."