sw_num_text_reg/01/04.txt

1 line
282 B
Plaintext

\v 4 Kila mwanaume kwa kila kabila, kichwa cha ukoo, lazima atumike na wewe kama kiongozi wa kabila. \v 5 Haya ndiyo majina ya viongozi ambao watapigana pamoja na wewe: Kutoka kabila la Reubeni, Elizuri mwana wa Shedeuri; \v 6 kutoka kabila la Simeoni, Shelumiel mwana wa Zurishadai