sw_num_text_reg/21/12.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 12 Kutoka pale wakasafiri na kuweka kambi katika bonde la Zeredi. \v 13 Kutoka pale walisafiri na kuweka kambi kwenye upande mwingine wa mto Amoni, ambao ukubwa wake unaanzia kwenye mpaka wa Waamori. Mto wa Amoni ndio unaootengeneza mpaka wa Moabu, kati ya Moabu na Waamori.