sw_num_text_reg/07/75.txt

1 line
320 B
Plaintext

\v 75 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga. dume la kondoo moja, dume moja la mwanakondoo wa mwaka mmoja. \v 76 Alitoa beberu moja kuwa sadaka ya dhambi. \v 77 Alitoa maksai wawili, dume watano wa kondoo, na wanakondoo dume watano kuwa sadaka ya amani. Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Pagieli mwana wa Okrani.