sw_num_text_reg/07/63.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 63 Alitoa sadaka ya kuteketezwa fahari mmoja mchanga, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja. \v 64 Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi. \v 65 Alitoa makisai wawili, kondoo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano kuwa sadaka ya amani. Hii ndiyo iliyokuwa sadaka ya Abidani mwana wa Gidioni.