sw_num_text_reg/07/51.txt

1 line
338 B
Plaintext

\v 51 Alitoa sadaka ya kuteketezwa, fahari mmoja, kondoo dume mmoja, na mwanakondoo dume mmoja wa mwaka mmoja. \v 52 Alitoa beberu mmoja kuwa sadaka ya dhambi. \v 53 Alitoa maksai wawili, kondo dume watano, beberu watano, na wanakondoo dume watano wa mwaka mmoja kuwa sadaka ya amani. Hii ndiyo ilikuwa sdaka ya Elishama mwana wa Amidu.